Makamu wa rais Dkt. Mohammed Bilal akipata maelezo ya vifaa vilivyofungwa kwa minajiri ya kuwafundisha vijana kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Veta mhandisi Zebadiah Moshi. |
Makamu wa
rais Dkt. Mohammed Bilal akipata maelezo ya fani ya uselemala kutoka kwa
mnufaika wa mafunzo Hassan Omari yatakayoboresha
ajira kwa vijana hao na atakavyokabiliana na soko la ajira baada ya kumalizia
mafunzo katika uzinduzi chuo cha Veta Mtwara.
No comments:
Post a Comment