Tuyalinde mazingira yatulinde sasa na baadaye, tukitunza mazingira yetu kwa kutokukata misitu tutapata mvua za kutosha ukizingatia nchi yetu asilimia kubwa ya wananchi wanategemea kilimo haswa wale wa vijijini ndiyo ajira yao kubwa haswa akinamama na vijana
Na majadiliano yaliruhusiwa katika darasa la mafunzo ya uandishi wa mtandao
Mwandishi wa Radio Maria Mtwara Bw. Jimmy Mahundi akijipinda kufuatilia mafunzo hayo
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Mtwara wakiwa darasini wakiendelea kupata mafunzo ya online journalism (Uandishi wa habari kwa kutumia mtandao), yanayofanyika siku nne katika ukumbi wa klabu ya waandishi wa habari ya Mtwara.
No comments:
Post a Comment