Mazingira

Maeneo mengi ya Tanzania bado yanaathiriwa na uchomaji moto kama hili hapa la Nangurukulu.
Haya ni maeneo ya Mkoa wa Tabora ambalo miaka ya nyuma kulikuwa na misitu mikubwa tu lakini sasa hali iko hivi

Maene ya Shelui Tabora, Watanzania wenzangu tuepuke kukata miti na kuchoma misitu tunakaribisha jangwa

Hili siyo ziwa bali ni sehemu ya Mkoa wa Tabora baada ya kukata miti na kufuga mifugo mingi katika eneo moja

Tusikate na kuchoma misitu hovyo
Tuache kuchoma moto hovyo bila sababu maalumu
Uchomaji mkaa umekuwa tatizo kubwa nchini labda kwakuwa nishati mbadala haijatolewa kwa wananchi wengi haswa waliopo vijijini kabisa, nini kifanyike kupunguza tatizo hili?
Machimbo ya kokoto Manispaa ya Mtwara Mikindani

No comments:

Post a Comment