Itunze Manispaa

Nadhani siyo busara kutupa takataka hovyo kwani kila mji una utaratibu wa kutunza na kuusafisha, ninawasihi wadau wa Manispaa ya Mtwara tuungane pamoja katika kuuweka uwe safi kwa kila mmoja wetu kutokutupa hovyo uchafu iwe nyumbani na sehemu unayofanyia kazi.

Na tusikate miti hovyo kwani kwa kufanya hivyo tunaongeza ongezeko la joto Duniani na kusababisha mvua kutokunyesha kwa wakati kama hali inavyoonekana sasa.
Kwa kutumia jukwaa hili tusaidiane nini kifanyike kuutunza mji wa Mtwara maana Manispaa ya Mtwara Mikindani.

No comments:

Post a Comment