Tuyalinde mazingira yatulinde sasa na baadaye, tukitunza mazingira yetu kwa kutokukata misitu tutapata mvua za kutosha ukizingatia nchi yetu asilimia kubwa ya wananchi wanategemea kilimo haswa wale wa vijijini ndiyo ajira yao kubwa haswa akinamama na vijana
Saturday, December 1, 2012
Wednesday, November 28, 2012
Tuesday, November 27, 2012
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED BILAL VETA MTWARA
| Makamu wa rais Dkt. Mohammed Bilal akipata maelezo ya vifaa vilivyofungwa kwa minajiri ya kuwafundisha vijana kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Veta mhandisi Zebadiah Moshi. |
Makamu wa
rais Dkt. Mohammed Bilal akipata maelezo ya fani ya uselemala kutoka kwa
mnufaika wa mafunzo Hassan Omari yatakayoboresha
ajira kwa vijana hao na atakavyokabiliana na soko la ajira baada ya kumalizia
mafunzo katika uzinduzi chuo cha Veta Mtwara.
Subscribe to:
Comments (Atom)